The team at Kodi Fire IPTV strongly suggests that you use a VPN at all times. Be it for browsing, watching Kodi, watching IPTV or anything else – the one that we recommend is Hidden Router. They provide you with very fast speeds, that can reach over 400Mbps, and their VPN service is as low as $6 per month (when paid for 2 years)! Grab your own Hidden Router and regain your online privacy now!
HAKUNA AIBU NI KAWAIDA TUU KUPITIA CHANGAMOTO, MSIMVUNJE MOYO, POLE MTUMISHI MASHIMO, IPO SIKU MUNGU ATAKUSITIRI TUU, POLE NAUMIA SAANA NAJUA WAKATI ULIOPO NI KAWAIDA TUU USIJALI
Hivi watz ki vipi huwa tunapenda Sana kushabikia kuona mtu kapata anguko?? Mapito ni njia ya kila mtu ili upate fursa. Je ungekuwa wewe !!! Tuache hayo Mambo tujifunze kuishi na yetu. Sasa kwa ushabiki huo mmepata ni ni
Maisha ni magumu kwa baadhi ya watu. Watu wasijione wajanja na wakadhani mashimo ni mjinga kukosa Kodi hamuezijua kapitia nn mpk kukosa Kodi. Hujui yako yajayo . Ni mbaya sana.
Hawa watu wanaojitaa nabii wanatafuta pesa tu wala sio manabii pia ni matapeli wakubwa pia wanatumia mazingaumbe ili tu wapate pesa sema tu tanzania haitaki shida za kufwatilia hawa watu wanaojikita kwenye dini pia ni wahuni sana michepuko haswa kwa wake wa matajiri
Alie koment ajielewi kwl Bongo
Sema ndugu mtangazaji umetisha sana🤣🤣🤣🤣
jamaa anatafuta Kiki apate pesa mwambie afanye kazi Aache hayo mambo ya kishoga
Hawa ndo manabii wa siku za mwisho walio andikwa kwenye Bible
HAKUNA AIBU NI KAWAIDA TUU KUPITIA CHANGAMOTO, MSIMVUNJE MOYO, POLE MTUMISHI MASHIMO, IPO SIKU MUNGU ATAKUSITIRI TUU, POLE NAUMIA SAANA NAJUA WAKATI ULIOPO NI KAWAIDA TUU USIJALI
Huyu ni bogus kabisa mwandishi
Huyu dishing lilishayumba anamzalilisha yesu wetu akapimwe akili
Kila siku anafukuzwa yeye tuu aachane na haya mambo yakujfanya mtumishi atafute kazi
Aondoke na majaba yake
Huyu mtangazaj alitakiwa amuhoj zumaridi
Nabii, mungu wa miungu yote kafukuzwa kwa kukosa kulipa kodi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢😢
❤😂😂😂😂😂😂😂😂ka aibika huyo
Hivi watz ki vipi huwa tunapenda Sana kushabikia kuona mtu kapata anguko?? Mapito ni njia ya kila mtu ili upate fursa. Je ungekuwa wewe !!! Tuache hayo Mambo tujifunze kuishi na yetu. Sasa kwa ushabiki huo mmepata ni ni
Maisha ni magumu kwa baadhi ya watu. Watu wasijione wajanja na wakadhani mashimo ni mjinga kukosa Kodi hamuezijua kapitia nn mpk kukosa Kodi. Hujui yako yajayo . Ni mbaya sana.
😂😂😂😂😂mwandishi umetisha Ila Kwa stail hii badilikeni mnalazimisha mtu aongee na kashasema anakuheshim mkipigwa mnasema mnaoneowa
Shikamooo mwandishi duuuuu Yani umekomaa na kufukuzwa kodi utapigwa rungu jitahidi umtafute zumaridi
Maisha magumu hadi sadaka watu hawatoi,
😀😀😀Jioji mwenyewe.
Hawa watu wanaojitaa nabii wanatafuta pesa tu wala sio manabii pia ni matapeli wakubwa pia wanatumia mazingaumbe ili tu wapate pesa sema tu tanzania haitaki shida za kufwatilia hawa watu wanaojikita kwenye dini pia ni wahuni sana michepuko haswa kwa wake wa matajiri
Nadhani WAANDISHI wa HABARI Msiwe mnaenda kumhoji MTU ili kumdhalilisha. Ni upuuzi na mnadhalilisha TASNIA ya HABARI.. BINAFSI sijaipenda hii.