USIACHE KU LIKE NA KU SUBSCRIBE
_________________________________________________
ASANTE KWA KUTAZAMA BONGOTIMES TV
_________________________________________________
Home IPTV And Kodi VIdeos Rais Samia Abadilika Ghafla Achukia Mnatumia Nguvu Nyingi Kuliko Akili Kukusanya Kodi...
Hakika mama utainua uchumi! Ukusanyaji wa mapato ulikuwa umefikia hatua ya kuwa discourage wafanya biashara na wachangiaji Wapato ya taifa kunawatu kweli wamefnga biashara zao ktokana na namna ya ukusanyaji ulokuwepo!!
Wewe ndiye Rais wetu wa Tanzania Samiath Suluhu Hassan….Wewe ndiye Rais Kweli Kabisaaaaa….. Umeweza na Utaweza tu….
WEWE NI MAMA KWELI KWELI, WAFANYA BIASHARA HAPO SASA WATAFUNGUA BIASHARA NYING NA KODI ITAKUSANYWA KUBWA.
Hasaa wee ,M,mungu akulinde
Hasa wewe ,du ulikuwa umewekwa pending,tusaidie
KWANINI WATUWAFUNGE MADUKA JAMANI
Hahahaaaaaa mama katiba lazima
MAMA SAMIA MUNGU AKULINDE WA TANZANIA TUNA IMANI SANA NA WEWE.. BIASHARA ZIKO HOI BINI MAUTI MAISHA NI MAGUMU WEWE NI MAMA….
Huyu kweli NI mama mzazi wa utawala wa watanzania anaongea Kama mama na watoto wake
Na kweli jicho mama limelegea JAMANI hongera
My beloved president may Allah swt blessings be always with you and guide you and ur governing….you have well spoken and we'll understood in a very kind and vision wise….may ur beautiful words enters to all citizens and we see our Tanzania growing and prosperous.
Safi sana Rais wetu umeliona hilo wanatumaliza wafanya biashara
mama wewe ni jinias tuvushe mama maneno yako yanatutia faraja mama unaweza Allah akulinde salama
Wanawake uwa hawakumbukwi mama,tunyoshee Hawa mfumo dume
Mungu ametuona watanzania,naamini tunao wachumi wazuri tu,lakini walikuwa hawana nafasi ya kutumia elimu yao au walikuwa waoga ,I'll wasipoteze nafasi zao.
tunataka katiba mpya
Assnte Mama well ssid👍
I JUST LOVE YOU MAMAA
WALAU KWA SASA TUNAPATA HAMU YA KUSIKILIZA HOTUBA YA RAIS😘😘😘😘❤️❤️❤️❤️💪💪💪
Mama hapo kwenye kodi ulijuaje? Halafu nadhani zote hazifiki hapo
Nafuraha sana na naamini watanzania tunaona amani ya nchi yetu ..ee Mungu mlinde Samia suluhu.AMEN
Hapo kwenye kodi Mama Nimekuenjoy
Watu wamekufa mmaa kuchukuliwa hela zao kwenye acaunt ,tunafwatwa tunauza bithaa feki hivyo viwanda vinatengeneza hawavioni?tumekopa bank mmaa wanakuja wanachukua bithaa zetu eti feki bank wanakujakutufilisi ,tusaidie mmaa.
Asante mama kweli mama ni mama
Mama asante
Mungu akuinue Rais wetu.hasa hapo kwenye kodi watu wamefunga maduka mama .