Serikali imepiga marufuku halmashauri zote nchini kutoza kodi kwenye mazao ya wakulima wa kawaida wanaosafirisha mazao yao kutoka shambani.

Kauli hiyo imetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Jimbo la Bukene, Selemani Zedi aliyeitaka Serikali kutoa katazo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nzega Vijijini kuwatoza kodi ya mazao wakulima wa kawaida katika halmashauri hiyo.

The team at Kodi Fire IPTV strongly suggests that you use a VPN at all times.
Be it for browsing, watching Kodi, watching IPTV or anything else – the one that we recommend is Hidden Router. They provide you with very fast speeds, that can reach over 400Mbps, and their VPN service is as low as $6 per month (when paid for 2 years)!
Grab your own Hidden Router and regain your online privacy now!