The team at Kodi Fire IPTV strongly suggests that you use a VPN at all times. Be it for browsing, watching Kodi, watching IPTV or anything else – the one that we recommend is Hidden Router. They provide you with very fast speeds, that can reach over 400Mbps, and their VPN service is as low as $6 per month (when paid for 2 years)! Grab your own Hidden Router and regain your online privacy now!
Hizo milioni 24 huwezi kujenga ,au hamuruhusiw kujenga ,labda jamaa anajenganyumba afu nyie mnapanga kwalazima sivyo uache KAZI au Sasa wcb hamuwezi kuendelea maana Kila mfanyakazi wa wcb lazima apange
Ni uwongo….with due respect to WCB and Diamond..huu ni uwongo…mtu anaelipa rent milioni 2 kwa mwezi hawezi kushindwa hesabu rahisi ya milioni ngapi kwa mwaka…..uwongo mtupu…mnatia aibu….halafu na we mdada mtangazaji mreeembo lakini hesabu ugoko….eti mara 365…nyinyi mbona vichwa panzi hivii..au ndio divisheni zero? Pia kitu kingineee nazijua nyumba za laki 8 bongo kwa mwezi ni nyumba kali sana….. Kwa kweli milioni 2 kwa mwezi dansa mnatudanganya sana….hiyo nyumba anayokaa dansa ikoje jamani……..halafu ina maana mshahara ni zaidi ya milioni 5/mwezi? kwa dansa wa Bongo fleva?….. Uwongo mtupu. Kwanza Bongo milioni 50 unajenga nyumba nzuri tu. Sasa kulipa rent mil 24/mwaka ni sawa na mil 48 kwa miaka mi2. Labda kama unatumia akili za chura kufikiri ndio unaweza kufanya hivyo kwa kipato cha dansa….nimewadharau sana kwa uwongo….
Diva umepona mungu ni mwema mashallah 😘🙏
Kwenda uko pumbaf
Yan kinachowafanya wanaume wamuache sio ufupi ila kupenda hela
😝😝🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mjengee
We chizi kumbe dva
Msikubal uongo
angejenga ningemuona ni hela inaweza ndy akajenga kwa muda tu
kuwa na akili sana dada
Million mbili ya nyokooo
Huyo ni muongo kabisa mxhenzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Muongo huyo binti anakaa sinza huko nyumba ya mama Sabrina kwa mwezi lakimoja chumba
Yani ajui kwa mwaka shs ngapi? Uyo muongo sana wanakaanga tabata nyumba nzima iwe nzuri kwa mwezi 500. Iyo m 2 anakaa wapi mbona wasanii waongo sana
K****ma wew
Miliyoni mbili ya nyoko 🙄😏😖
Dada acha kumkaanga diva jenga yako
Hizo milioni 24 huwezi kujenga ,au hamuruhusiw kujenga ,labda jamaa anajenganyumba afu nyie mnapanga kwalazima sivyo uache KAZI au Sasa wcb hamuwezi kuendelea maana Kila mfanyakazi wa wcb lazima apange
Yan like serious diva calculation ya 12×2 million mpka maisabu but i understand mentally bado hujakah Sawa unapitia magumu this time
Ivi mlionaga nini kwenye kupanga?? Kwanini usijenge kibanda chako mwenyewe. Naona kama unaongoba we binti
Ni uwongo….with due respect to WCB and Diamond..huu ni uwongo…mtu anaelipa rent milioni 2 kwa mwezi hawezi kushindwa hesabu rahisi ya milioni ngapi kwa mwaka…..uwongo mtupu…mnatia aibu….halafu na we mdada mtangazaji mreeembo lakini hesabu ugoko….eti mara 365…nyinyi mbona vichwa panzi hivii..au ndio divisheni zero? Pia kitu kingineee nazijua nyumba za laki 8 bongo kwa mwezi ni nyumba kali sana….. Kwa kweli milioni 2 kwa mwezi dansa mnatudanganya sana….hiyo nyumba anayokaa dansa ikoje jamani……..halafu ina maana mshahara ni zaidi ya milioni 5/mwezi? kwa dansa wa Bongo fleva?….. Uwongo mtupu. Kwanza Bongo milioni 50 unajenga nyumba nzuri tu. Sasa kulipa rent mil 24/mwaka ni sawa na mil 48 kwa miaka mi2. Labda kama unatumia akili za chura kufikiri ndio unaweza kufanya hivyo kwa kipato cha dansa….nimewadharau sana kwa uwongo….
Kuma nyinyi
Watu wa WCB wote hamna hata mmoja alojenga 😂😂😂🤣🤣🤣🤸🤸🤸
Muongo huyo kwa malipo gani ya kukaa nyumba ya million 2
Maanake kwanza nicheke 🤣🤣🤣 mshahara wake haufiki million 2
2×12😂😂😂
Daaahh kwakweli Wasafi ni aibu🥴
Sema Dida kwa kuwaa umesema Tayarii watu wakijaga Apoo Wana danganya Basi tushamjua 🤣🤣🤣🤣🤣🙌 2m per month
Anatudanganya huyoo si ajenge nyumba yake