Wafanyabiashara zaidi ya 80 wa maduka katikati ya jiji la Arusha wamefunga maduka yao wakipinga kupandishiwa mara dufu Kodi na halmashauri ya jiji la Arusha kutoka kiasi Cha sh,150,000 hadi sh,300,000 kinyume na utaratibu.
Wafanyabiashara zaidi ya 80 wa maduka katikati ya jiji la Arusha wamefunga maduka yao wakipinga kupandishiwa mara dufu Kodi na halmashauri ya jiji la Arusha kutoka kiasi Cha sh,150,000 hadi sh,300,000 kinyume na utaratibu.
Hivyo vinavyo itwa vikurugenzi vipumbavu sana ni sehemu nyingi Sana vikurugenzi havijitambui wanashindana kukusanya mapato wakati wananchi wanaumia
Kumbe tz tunaye rais mm sikua namuona kama yupo
Tutaelewa tu hahahaaaa RiP JpM tutakukumbuka daima
Wapi huko si tuje tujaribu bahati zetu
Hivi huyu mama samia na timu yake anawataka nini watanzania
Kazi iyendelee lipeni ili tujenge nchi yetu mama Samia oyeeeee
Samia na tozo hoyeeeee! Kazi iendelee 2025 hiyooo.
Mnapandisha kodii mnaona raha 2 watanzania tunaumia
Mungu atatunibu
Mnayemuomba ndie aliyesema
CCM na serikali yake sikivu.Huu ni mwaka wa 60 bado mnaendelea kuichagua.Jifunzeni kwa Zambia,Malawi,Kenya na Uganda.Uchaguzi ukikaribia tu hawatawasumbua lakini kwa sasa poleni🤣🤣🤣🤣
Kipindi cha Magu, hiyo walifanyiwa wakubwa pekeyao, sasa hivi wanafanyiwa wote, mnaaza kusema nini, pambaneni na hali. 🤣🤣🤣 issue ni ccm
Baadhi ya viongozi wa nchi ni watesaji mno
Machinga kiboko mama lishe kiboko bodaboda kiboko adi watembea kwa mguu kiboko apo ndo uje ujue
Kwanza kabisa haya maduka hayafanyiwi matengenezo yeyote hivi vibanda sio kama gari useme mafuta yamepanda,hata rangi hawapaki wala hakuna matengenezo yeyote,kwa nini kodi inapanda ?Madiwani wanafanya nini juu ya jambo hili.
oyeeee, kazi iendeleee.
Pia hizi fremu ni mali ya serikali,inatakiwa wafanye maboresho maduka yawe na muonekano mzuri wa kisasa,kuna maduka ukiangali mabati yameharibika sura za fremu zinatofautiana,badala ya muonekano wa usafi inakuwa ni uchafu,wafanye matengenezo na fremu zote ziwe na sura moja.
Mzee kaongea point Sana hapo yaan wafanyabiashara tunateseka ssna
Unyanyasaji mtupu awamu ya sita.
Ni hao hao kila siku Ndio wanalalamika, kama hamuwezi kulipa hiyo kodi waachieni wengine wafanye biashara . Mambo ya kubembelezana ndio yametuchelewesha
Eti kodi laki na nusu kwenye jiji hata mikoani watu wanalipa zaidi . Mngewatimua tu kama wameshindwa kulipa kodi wengine wanaweza
nikodi ya jengo au
Huyu msomali kila siku analalamika tu , Unadhani mtanzania mzawa angepata hata fremu ya kufanyia biashara kwenu Somalia
Lipeni CCM oyee
Viongozi waache akili za kukurupuka
Na hii tabia ya kusema,, tunawaomba serikali ndo inayo lea ujinga wa namna hii.
Na hili ndo watu wengi hawajui,,, hii nchi ni ya kila mtanzania hakuna mwenye haki miliki na hii aridhi ya tanzania.
Nyie mtafuteni lema awaongelee si mlimkataa sasa mtaisoma namba ccm mbele kwa mbele
Huyo mkurugenzi atumbuliwe kwa kuidhalilisha siku ya uhuru.
Cubirini mwaka 2025 mukipewa vitenge na kanga muyasahau yote hayo mupate muwachague Tena na malipo yao nikuongeza Kodi zaid ya hizo ccm mbele kwa mbeleee
Mkuu wa Mkoa Arusha msimtegemee
Hii ni shiidaa ya sihasa kila mahali hadi ktk mpira
Komeni tena iongezeke mara10, nyie na watu wa moshi ndo mlichekelea baada ya kifo cha jpm mlijua mtapona,
Hahahahahahaha bado tutaona mengi tu wakiambiwa majizi yamerudi wanakanusha unafiki wanazani biashara ni Kama wanavyokaa maofisini wanaweka vitambi juu ya meza na kupanga upumbavu wao kwa bila kutambua ugumu na changamoto za biashara
mzee loken biashara sio lelemama kwakweli inaumiza
Mmmmh, 😳😷😩