WATCH WASAFI TV๐บ
AZAM – 411 | DSTV – 296 | ZUKU – 028 | STAR TIMES – 444 & 333 | COCONUT TV – 20 | DODOMA CABLE – 113
LISTEN WASAFI FM ๐ป
88.9 DAR/ZNZ/PWANI ๐ป | 104.1 DODOMA ๐ป | 94.5 ARUSHA ๐ป | 97.3 MBEYA ๐ป | 94.9 MWANZA ๐ป | SHINYANGA 106.3 ๐ป | KIGOMA 101.7 ๐ป
Follow Us On:
INSTAGRAM: ||
TWITTER: ||
FACEBOOK:
๐ช๐๐๐๐๐๐๐๐ ยฉ2021 ๐พ๐๐๐๐๐ ๐ด๐๐
๐๐. ๐จ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐
.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
TRA washatoa majibu ya maswali yote hayo, shida iko wapi? Uliza maswali yako hapa upate majibu! Rand lord, hata matamshi yanakushinda.
Upuuzi mtupu si bora mtunyongee tu sasa:
Selikali inatuibia naviongozi wake
Nyumba moja inamita tatu zote nyinyi selikali mnachukua kodi amuoni kama huu ni wizi
umenena aisee
Sisi wananchi tulip wengi maisha yetu magumu sana baada mtutue mizigo nyinyi mnatutwisha mizigo izi kodi zilibidi zifutwe kabisa zisiwepo
nataman nimfufue Mjomba Magu aje ajionee huu Uozo lakn najikut cna jeur hyo
Dah hii Tanzania
E tunaumizwa sisi wananchi.jamani viongozi wetu mutuonee huruma wengine sisi mungeziangalia. Hali zetu kwanza
Magufuli tunakukumbuka sanaaaaaa
Au kila mpangaji ni jengo
Mimi nilisema tunapigwa
Tatizo letu watanzania tunataka serikali itufanyie kila kitu lakini kulipa kodi hatutaki. Kati ya watanzania milioni sitini ni watanzania milioni tano ndio wanaolipa kodi. Sasa hizi siasa zenu za kupinga kila kitu hazitakuwa na msaada kwa taiga letu
Hapo Act tunawapongeza
Tumesikia
ACT wamechoka kodi yenyewe kwa mwaka ni elfu 12 kwa mwaka yani mwezi ni elfu 1 tu
Mkimaliza kodi ya umeme mkate na kodi ya kupumua
Mimi nilitakakujua mmiliki mwenye mita zaidi ya moja.
Hawa nao wanafiki.kwa hiyo leo wanalikubali bunge walilolijataa.batili
Asante kwa kuuliza swali ambalo linaomiza kichwa…
๐ญ๐ญ๐ญ
Pumzika kwa Amani makufuli ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ