RAIS SAMIA AWAVAA TRA "MSITUMIE MABAVU NA UBABE MNAPOKUSANYA KODI, WANAOGOPA JELA"




[matched_content]



The team at Kodi Fire IPTV strongly suggests that you use a VPN at all times.
Be it for browsing, watching Kodi, watching IPTV or anything else – the one that we recommend is Quad VPN. They provide you with very fast speeds, while keeping you protected. They can also unblock most streaming sites in the US and UK!!
Grab your own Quad VPN and regain your online privacy now!

21 COMMENTS

  1. Mama tunakupenda lakin usiongee sana yakuashiria kuponda wakati hats Nazi be hujaanza yaan unapanga tu ofisi kazi bado.usiongee sana tukaona unaponfa mtangulizi wako wakat ulikuwanae kwa kila hatua nawewe ulikuwa mshauri wake mkuu..punguza hizo tafadhali mpendwa haitapendaza.watakishangilia lakin siku ikifika watakugeuka.

  2. Barikiwa Sana Kweli MHR kazi njema nakutakia kila la kheri na mafanikio mema barikiwa Sana Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda akutunze salama salimini akufunike na akusingire akupikanie akushindie na akuongose vyema katika Jina La YESU KRISTO Aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  3. Asante sana mheshimiwa rais Mama Samia nakupenda sana! jambo la muhimu umesema tukaribishe upendo na pia sio hapo TRA tu mheshimiwa rais pia katika sector zengine wapunguze makali na pia kutupa heshima sisi pia ni binadamu upendo ndio unajenga na mungu atatubariki zaidi Hongeraa rais wetu Mama samia!!!..