The team at Kodi Fire IPTV strongly suggests that you use a VPN at all times. Be it for browsing, watching Kodi, watching IPTV or anything else – the one that we recommend is Hidden Router. They provide you with very fast speeds, that can reach over 400Mbps, and their VPN service is as low as $6 per month (when paid for 2 years)! Grab your own Hidden Router and regain your online privacy now!
But mhe.mwiguli hili aliwai kusema msukuma several times mka mnampinga. Tunakuomba Kodi iendelee kukusanywa kama kawaida . Account za watu zishikiliwe. Watu waruhusiwe kutunza hela benki tena
Hawa wajinga walikuwa wanajipendekeza kwa magufuli na sera zake za kuua biashara kwa kulinda matumbo yao sai wanajidai wanahuruma na wafanya biashara PUMBAVU KABISA!!!
Kukuza uchumi ni kuruhusu mzunguko wa hela watu wakafanya biashara, mzunguko wa hela unawapa wananchi purchasing power ndipo wafanyabiashara watapata faida na kulipa kodi. Mfumo uliopo wa kunyang'anya fedha zotee kwa wananchi, unafanya bidhaa za wafanyabiashara zibaki bila kununuliwa, anunue nani? anunue na nini? Uchumi hauhitaji kuwa na PHD, is a matter of simple logic.
Kama wale wakopesha fedha wadongo wadogo wanaripa Kodi lakin kila mtu anajitoa kwenye biashara wanafunga wambia kusajili wanazungushwa hatari na ni wengi sana wanakata tamaa wanaacha
Kwendraaaaa
But mhe.mwiguli hili aliwai kusema msukuma several times mka mnampinga. Tunakuomba Kodi iendelee kukusanywa kama kawaida . Account za watu zishikiliwe. Watu waruhusiwe kutunza hela benki tena
Tuenzi ya jpm
Hapo sawa
Haya bana Mungu ana nguvu Jina lake libarikiwe anaweza kubadili nyakati within no time maombi Yana nguvu kuliko chochote
Shida kubwa tuliyonayo ni kwamba hamna consistency.
Huna vision ya uongozi upo kama bendera unafuata upepo,upepo unapo elekea ndio huko huko inakoufataa pumbafuuu.
Ubarikiwe mkuu
Hawa wajinga walikuwa wanajipendekeza kwa magufuli na sera zake za kuua biashara kwa kulinda matumbo yao sai wanajidai wanahuruma na wafanya biashara PUMBAVU KABISA!!!
Toka nianze kukujua. Saizi naanza kukuelewa
"Nice one "
How will that Happen if people like Makonda or Hapi can lock an investor.
Kiukweli, tunahitaji watu wapya kabisa wenye fikira tofauti, HII INACHOSHA(watu walewale, leo wanaongea hivi, kesho vile Nchi ile ile)
You look like you don’t know what are talking about just stay in your office and do your job that it
Jamaa haeleweki sijui apewa uogozi kwajili yanini😀😀😀
Safi sana baba
Huna lolote
Siuji mother kwann kakuchagua yani tunataka sura mpya ww huna jipya Yani wizara muhimu ndo unapewa ww wakati hiyo ndo engine ya maendeleo
Mwigulu zsmani mbona ukukemea au ulimuogopa magu
Kukuza uchumi ni kuruhusu mzunguko wa hela watu wakafanya biashara, mzunguko wa hela unawapa wananchi purchasing power ndipo wafanyabiashara watapata faida na kulipa kodi. Mfumo uliopo wa kunyang'anya fedha zotee kwa wananchi, unafanya bidhaa za wafanyabiashara zibaki bila kununuliwa, anunue nani? anunue na nini? Uchumi hauhitaji kuwa na PHD, is a matter of simple logic.
Uchumi gani unausemea Kaka pesa mnaacha kwenye kilimo
Huko vizuri kiongozi lakini usije kubadirika
Hakuna waziri hapa
Kama wale wakopesha fedha wadongo wadogo wanaripa Kodi lakin kila mtu anajitoa kwenye biashara wanafunga wambia kusajili wanazungushwa hatari na ni wengi sana wanakata tamaa wanaacha