The team at Kodi Fire IPTV strongly suggests that you use a VPN at all times. Be it for browsing, watching Kodi, watching IPTV or anything else – the one that we recommend is Hidden Router. They provide you with very fast speeds, that can reach over 400Mbps, and their VPN service is as low as $6 per month (when paid for 2 years)! Grab your own Hidden Router and regain your online privacy now!
Amna inshu apo mikataba ipo kama ni madai aende mahakamani hiyo mikataba ipo kisheriaa nini shida sasa
Uongozi wa miaka hii kiboko, kila kiongozi anatafuta sifa.
Huyu jamaa ni mhuni!
https://youtu.be/hPZ4mVIrIlI
Msomi mwenzangu , vipi tena?
https://youtu.be/ptJpujJPLDo. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hao wanatongozana /ni wapenzi
Wapenzi hao
Unfair
😂😂😂🤣🤣🤣 duniani kuna mambo😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣njoo tunywe bia moja
😁😁😁😁😁😂😂😂🤣🤣🤣
Umpige mama yangu umtishie bastola hata Kama Ni Nani sheria lazima itachukua mkondo wake
😂😁
😂😂😂daaa siku nyingine omba vyeti vya chuo usipangishe Mwanasheria, hao kuwashinda kesi vigumu.
Msilete mapemzi hapa,nyie wapenzi mnanyimana matumizi!
Uhujumu wa Taifa,,😁😁!
Mwanasheria kavunja sheria?.
Utasikia ananipingia simu njoo tunywe pia mwanasheria huyo🤔
Mwanasheria kavinja sheria
Mwanasheria kavinja sheria
Mimi anidai!!!😂😂😂
Anakutaka kwa nguvu
Muhuni tu huyu!anamdhalilisha mama wa watu kama kigezo cha kukwepa aibu yake ya dhulma ya kodi!piga kazi mkuu mungu anakuona ☝️
Kwel wabongo mna shda….si ahameeeee
Mhhh ana shida huyu
Millard story ya NJAU iliishia wapi?
Alafu huyu jamaa alikuwa analalamika kuhusu mrisho gambo kutoa rushwa kumbe hata kodi ya nyumba hajalipa
Njau ni mlevi awezi lipa kodi
Njau mjanja
Duuu iii nikaliii😀😀😀😀😀
Mwanamke bhna unaongea bila kuhema hata una haki
Aisee mwanasheria c o kitu cha kuchezea!
Huyo mama anamatatizo huyo,huenda wanamahusiano ya kimapenzi wamefikia kuzalilishana
Duhhhh