Wenyeji katika mtaa wa kawangare katika kijiji cha kongo, wamepata hasara kubwa baada ya nyumba zao kutekezwa moto mchana wa leo baada ya mwenye nyumba hiyo kudaiwa kumuua mpangaji wake kwa kukosa kodi. Ni kisa ambacho kilisababisha wenyeji kujawa na ghadhabu hadi kusababisha hali hiyo ambayo imewafanya wapangaji kupoteza mali zao.

The team at Kodi Fire IPTV strongly suggests that you use a VPN at all times.
Be it for browsing, watching Kodi, watching IPTV or anything else – the one that we recommend is Hidden Router. They provide you with very fast speeds, that can reach over 400Mbps, and their VPN service is as low as $6 per month (when paid for 2 years)!
Grab your own Hidden Router and regain your online privacy now!

16 COMMENTS