Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imemkamata Raia wa China aliyeingiza nchi vifaa ambavyo vina uwezo wa kutengeneza mashine 500 za michezo ya kubahatisha.

The team at Kodi Fire IPTV strongly suggests that you use a VPN at all times.
Be it for browsing, watching Kodi, watching IPTV or anything else – the one that we recommend is Hidden Router. They provide you with very fast speeds, that can reach over 400Mbps, and their VPN service is as low as $6 per month (when paid for 2 years)!
Grab your own Hidden Router and regain your online privacy now!

33 COMMENTS

  1. Sasa izo njia za panya au nyoka hao wachina watazijuaje kama sisi wenyewe ndio mapoyoyo sio wazalendo tunaliuza taifa ki zwazwa ukiuliza eti madili uyo mchina anaenda kujenga kwao na kutuadisia uko afrika makasuku wamelala awana uzalendo au twiga faru tumbili nani anawatoa mbugani kama sio sisi wenyewe na kuwapa wazungu kiubwete tunawapa neema ni uzwazwa tu

  2. kwanza niaibu kubwa sana kuruhusu uwekezaji was kizembe na kijinga namna hii.yani kweli tunaruhusu mgeni aje afunge mitambo ya kamali nchini mwetu na kujikusanyia pesa kirahis tu.hizi shughuli zisizo na tija ktk uchumi ni heli tungezipiga marufuku kufanywa na wagen.mgeni akija ,aje na teknologia,mtaji was maana, na achangie kuongeza ajira.hawa wachina wsliojazana Tanzania wakiuza pipi na kufanya biashara ya umachinga ni heli tukawaondoa warudi kwao.

  3. kweli TRA mnatakiwa kutumia binu nyingine kwa wafanya biashara wenye mashine za lisiti kwan hawazitumii ipasavyo bali wanachofanya ni kwamba kama mteja kanunua mzigo wa laki tano Basi atapewa lisiti ya laki moja na ukikataa anakwambia acha biashara yake hawezi kuifanyia. serekali hivyo mjipange sana

  4. Kamata kabisa wao kwenye nchi yao mtu akikwepa kodi wanangyonga sasa mchezo walikuwa wanaufanyia nchini kwetu. Hongera watu wa TRA kwa uzalendo maana unaweza ukatamani kidogo wakati unaua UCHUMI wa nchi yako ambao itakuathiri na wewe uzeeni mwako. UTATIBIWA NA NINI, BARABARA UTAPITA WAPI MAKORONGO mfano mdogo tu huo